
Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mazungumzo
na ugeni kutoka jijii la Humburg Nchini Ujeruamni uliomtembelea ofisini
kwake, mstahiki meya, amesema kiwanda hicho kitaisaidia kupunguza tatizo
la takataka katika manispaa hiyo kwa kuwa tata nyingi zitatumika katika
uzalishaji huo wa mbolea ya kisasa.
Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu na
nusu, na unaoatarajiwa kujengwa katika eneo la Magwepande, amesema
unatarajiwa kusaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana huku pia
akitoa wito kwa wadau wengine wa maendeleo kufanya kazi na halimashauri
hiyo.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini