Pichani
ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi
ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa
kero kwa nchi hii.
Ikumbukwe
kuwa kuna wakati Tanzania ilifikia kuwa kinara cha matukio ya ujangili
kiasi cha Serikali ya Awamu ya Nne kuanzisha Operesheni Tokomeza ambayo
nayo haikuisha vizuri.
Maliasili
ya Tanzania ikitunzwa vizuri inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato kwa
nchi ambayo yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi
kupitia utalii.
Tunakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya Meja Jenerali Gaudence Milanzi.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini