HOSPITALI YA RUFAA SONGEA NA NHIF ZAONYWA KUSHIRIKIANA NA TIBA ASILI. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Friday, January 8, 2016

HOSPITALI YA RUFAA SONGEA NA NHIF ZAONYWA KUSHIRIKIANA NA TIBA ASILI.


majaliwa
Waziri Mkuu Majaliwa amezitaka hospitali za Mkoa wa Ruvuma kutatua changamoto za vifaa tiba kwa kukopa mkopo nafuu kutoka Mfuko wa Bima ya Afya.
Amesema Mfuko wa Bima ya Afya umesaidia kuboresha huduma za afya nchini kwa kununua vifaa tiba na kuzikopesha hospitali, moja ya wanufaika wakiwa ni jimbo lake.
Waziri mkuu Majaliwa aligundua uchakavu wa vifaa tiba baada ya kutembelea chumba cha upasuaji katika Hospitari ya Mkoa wa Ruvuma, ameagiza uongozi wa Bima ya Afya kushirikina na Hospitali kutatua swala la vifaa tiba pamoja na kuongeza maduka ya madawa ya takayo toa dawa kwa watu wenye kadi za Bima ya Afya
Katika ziara yake Waziri Mkuu amemsimamisha kazi afisa masoko wa chama kikuu cha ushirika cha SONAMCU Paul Gwaleba baada ya kugundua ubadhilifu mkubwa wa mali za chama hicho
Waziri mkuu Majaliwa amesifu uzalishaji wa nafaka katika mikoa ya kusini na kusema zaidi ya tani laki 5 zimezalishwa . kazi  kubwa ya serekari nikusambaza Nafaka hizo katika maeneo yenye uhaba wa chakula
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wamemuomba Waziri Mkuu kusimamia  kufufua kiwanda cha SONAMCU ili watu wapate ajira wengine wameomba Serikali isimamie ada zinazo tozwa katika Sekondari za watu binafisi
Waziri mkuu Majaliwa kasimu Majaliwa amemaliza ziara yake baada ya kuzindua benk ya posta kukagua halimashauri ya wilaya kuzungumuza na watumishi wa mkoa wa Ruvuma pamoja na kutembelea kiwanda cha SONAMC
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin