Tanzia: Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah (Kinyambe) Amefariki Dunia. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 11, 2016

Tanzia: Msanii wa Vichekesho Mohammed Abdallah (Kinyambe) Amefariki Dunia.

Mwigizaji wa comedy Mohammed Abdallah maarufu "Kinyambe" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya mkoa wa Mbeya alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Mungu amlaze mahali  mahali pema peponi -Amina
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin