GEPF umesema utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Sunday, May 15, 2016

GEPF umesema utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu.

 Mfuko wa akiba wa GEPF umesema baaada ya bunge la jamhuri  kupitisha sheria mpya ya mfuko huo  utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu huku mfuko huo ukifikisha thamani ya shilingi bilioni 198.38  ukiwa na wanachama zaidi ya 62,000.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin