Vijana katika manispaa ya Morogoro wametakiwa
kutumia fursa mbalimbali za ujasiriamali mkoani humo zinazotolewa na
wadau wa sekta ya maendeleo ili kufikia malengo yao ya kiuchumi.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe,
Hayo
yamezungumzwa na mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe
alipokuwa anazungumza na vijana katika uzinduzi wa mafunzo ya
ujasiriamali chini ya mpango wa “Kijana Jiajiri.”
Mpango huo wa kijana jiajiri unawalenga vijana kati ya miaka 18 hadi 35 unatekelezwa na Taasisi ya kuendeleza ujasilimali na ushindani Tanzania(TECC),kwa kushirikiana na Taasisi ya kuendeleza vijana kibiashara ya uingereza (YBI), na baraza la taifa la Uwezeshaji(NEEC).
Dkt. Rutengwe amesema kuwa vijana wengi wanaingia katika biashara bila ya uelewa mpana wa biashara na kutambua namna ya kukabiliana na ushindani wa Masoko.
Aidha Mkuu huyo wa Mkoa ameiomba TECC kutoishia katika Manispaa ya Morogoro na badala yake waende katika Manispaa nyingine ili kuwajengea uwezo vijana wengine katika ufanyaji biashara.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini