Benki ya NBC yazidi kuwawezesha vijana kiuchumi | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Thursday, September 22, 2016

Benki ya NBC yazidi kuwawezesha vijana kiuchumi


Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana wanaosoma katika Chuo cha Ufundi cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Hhivi karibuni. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Huduma za Kibenki za Taasisi wa NBC, Noelina Kivaria (kushoto), akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Kitengo cha Sekta ya Umma na Taasisi za Fedha wa NBC, Linley Kapya (kulia), akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Meneja Usimamizi Malipo wa NBC, Servance Ngowi (kushoto), akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mkuu wa Kitengo cha Makampuni Makubwa ya ndani wa NBC, Prosper Nambaya (kulia) akitoa maelezo kuhusu masuala ya elimu ya kifedha chuoni hapo, Gongo la Mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mafunzo hayo yaliyodhaminiwa na benki hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha.
Mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo, Rosemary Petro (kushoto), akizungumza na wanafunzi hao chuoni hapo.


Baadhi ya nafunzi wa Chuo cha Future World wakihudhuria mafunzo kuhusu ujasiriamali, stadi za kazi, na elimu ya kifedha chuoni hapo yaliyodhaminiwa na NBC hivi karibu.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin