Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe
(kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kabla ya
kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari wakipinga kitendo cha kutolewa
kwa nguvu katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
March 10 2015, Zitto Kabwe alivuliwa uanachama wa CHADEMA kwa tuhuma za kukihujumu na kikisaliti chama hicho.
Hata hivyo, baada ya muda mfupi, Zitto alijiunga na chama
cha ACT-Wazalendo na kuteuliwa kuwa kiongozi mkuu wa chama hicho huku
mwenyekiti wake akiwa Anna Mghwira
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini