Ramires atimkia China kwa mkataba wa kudumu. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Thursday, January 28, 2016

Ramires atimkia China kwa mkataba wa kudumu.

Ramires amekamilisha uhamisho wake kwenda China kwa ada ya pauni milioni 25
Ramires amekamilisha uhamisho wake kwenda klabu ya Jisungsu Suning ya China kwa ada ya pauni milioni 25
Kiungo wa Chelsea Ramires amejiunga na klabu ya China Jiungsu Suning kwa mkataba wa kudumu, klabu ya Ligi Kuu imetangaza.
The Blues ililipa pauni milioni 18 kwa Ramires mwaka 2010, alisaini mkataba wa miaka mine mwezi Oktoba.
Lakini Mbrazil, 28, hajaanza kikosi cha kwanza Ligi Kuu tangu kipigo cha 2-1 na kutoka kwa Leicester City Desemba 14 na hivyo kutimkia China kwa pauni milioni 25.
Ramires aliichezea Chelsea tangu 2010
Ramires aliichezea Chelsea tangu 2010
Historia ya soka ya Ramires
Joinville (2006) – 14 mechi 3 magoli
Cruzeiro (2007-09) – 85 mechi 16 magoli
Benfica (2009-10) – 42 mechi 5 magoli
Chelsea (2010-2016) 242 mechi 37 magoli
Brazil (2009-) – 52 mechi 4 magoli
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin