Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa
wa kuongoza bunge
Jana Naibu Spika alitoa mwongozo juu ya wabunge ambao wanasusia vikao vya bunge kwa kuingia bungeni kisha kutoka nje ya ukumbi wa bunge na kuagiza kuwa wabunge hao wakatwe posho zao kwa vikao vyote ambavyo hawajatimiza majukumu yao, ndipo hapo Mbunge Peter Msigwa kupitia ukurasa wake wa Facebook alimjibu na kusema kuwa wao hawakufuata posho Bungeni na wakitaka wakate na mshahara pia.
"Tulia anawadanganya wananchi UKAWA hatuna ugomvi na Bunge, tuna ugomvi na yeye, asiingize taasisi kwenye tataizo la kutokuwa na weledi kuongoza bunge. ieleweke UKAWA hatujasusua Bunge tumemsusia Tulia, mteule wa Mtukufu Rais, lakini ndani ya siku tatu anatoa mwongozo wa jambo hilo hilo majibu tofaouti! Hatukufuata posho Bungeni, wakitaka na mshahara wakate pia, Shame on you Tulia" aliandika Msigwa

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini