Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango
#BajetiTz16
- Vinywaji baridi kutoka Sh55 hadi Sh58
- Juisi ya matunda ya nchini kutoka Sh10 hadi Sh11
- Juisi kwa matunda yanayozalishwa nje, kutoka Sh200 hadi Sh200 kwa lita moja.
- Bia iliyotengenezwa kwa nafaka ya ndani ambayo haijaoteshwa kutoka Sh409 hadi Sh430 kwa lita.
- Bia nyinginezo kutoka Sh694 hadi Sh729
- Bia zisizo na kilevi na nyingine zinazoongeza nguvu, kutoka Sh508 hadi Sh534.
- Mvinyo uliotengenezwa kwa zabibu za ndani kwa zaidi ya kiwango kinachozidi asilimia 75, kutoka Sh192 hadi Sh202.
- Zabibu inayozalishwa kwa zabibu za nje kwa kiwango kinachozidi asilimia 25, kutoka Sh2,130 hadi Sh2,237 kwa lita moja.
- Ushuru wa bidhaa unaotozwa kwenye samani zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20, kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya samani zinazotengenzwa nchini.
- Kodi mpya ya asilimia 10 katika huduma ya kupokea fedha kwa mitandao ya simu badala ya kutoza tu kwa anayepokea
- Kusajili magari juu kutoka Sh150,000 hadi Sh250,000
- Kusajili pikipiki juu kutoka Sh45,000 hadi Sh95,000
- Ada namba binafsi juu kutoka Sh5 milioni hadi Sh10 milioni #BajetiTz16
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini