Serikali yasema itahakikisha kero ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini itakuwa historia . | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Sunday, May 15, 2016

Serikali yasema itahakikisha kero ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini itakuwa historia .


.
Serikali imesema itahakikisha kero ya upatikanaji wa maji safi na salama nchini inakuwa historia katika baadhi ya maeneo nchini huku lengo kuu likiwa ni kuifanya kero hiyo kuwa historia nchi nzima ili kuwafanya watanzania wanapata huduma hiyo muhimu wao na mifugo yao.
Naibu waziri wa wizara ya kazi, vijana, ajira na walemavu Mhe.antony Mavunde pamoja na katibu mkuu wa wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa Bw.Job Masima wamesema hayo mkoani Dodoma wakati wakishiriki katika miradi ya upatikanaji wa maji mkoani humo.
 
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin