Picha: Diamond na Mafikizolo Wakiwa Ndani ya Ukumbi wa Bunge Leo . | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News

Thursday, May 12, 2016

Picha: Diamond na Mafikizolo Wakiwa Ndani ya Ukumbi wa Bunge Leo .

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani  Chuo kikuu cha Dodoma.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin