Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech
hapa nchini Pavel Rezac, tukio hilo lilifanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi Mteule wa nchi ya
Jamhuri ya Czech hapa nchini Pavel Rezac.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nchini Pavel Rezac
mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Balozi mteule kutoka nchi ya Jamhuri ya Sudani Kusini
Mariano Deng Ngor aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za
utambulisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Sudani Kusini Mariano Deng Ngor
aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za utambulisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini
Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini Carlos Alfonso Iglesias Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Kuwait Mahadhi Juma Maalim Ikulu
jijini Dar es Salaam. Balozi Mahadhi alifika Ikulu kwa ajili ya kuagana
na Mhe. Rais kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake hiyo rasmi nchini
Kuwait.
Kaimu
Mnikulu Ngusa Samike kulia akimkaribisha Balozi Mteule wa Brazil Carlos
Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam katikati ni Kaimu Mkuu wa
Itifaki James Mbwana kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, kikanda na Kimataifa.
PICHA NA IKULU
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini