Katibu
Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent
Mashinji jana ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar es
Salaam na kupokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho
akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
Watendaji
wa Makao Makuu wakimkaribisha Katibu Mkuu Dr. Vicent Mashinji jana.Hii
ni tokea katibu Mkuu huyo kuchaguliwa kwake kwenye mkutano wa Baraza Kuu
CHADEMA, uliofanyika jijini Mwanza Machi 12 mwaka huu.
Watendaji
wa Makao Makuu wakimkaribisha Katibu Mkuu Dr. Vicent Mashinji.
Anayemfuatia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini