Gari ya mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel
imeshikiliwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), baada ya kutumia gari
kabda ya kulipia ushuru.
Msanii wa bongo movie, Aunty Ezekiel.
Gari yake ya aina ya AUDI aliyoiagiza afrika kusini ilikamatwa mwezi mmoja uliopita ikiwa na namba ambazo siyo Tanzania.
Aunty Ezekiel ameeleza kuwa aliikutumia gari hiyo wiki moja tu ndipo mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), wakamkatamata na kumtaka aonyeshe vibali vya gari kuruhusiwa kuingia nchini na akakutwa na vibali vyote.
Msanii huyo amedai kuwa hakujua taratibu za kulipia ushuru lakini kwa sasa ameshazijua na ametakiwa kulipia mamilioni kadhaa ya pesa kwa ajili ya ushuru na siku za karibuni atalipia ili gari yake itaachiliwe

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini