Sugu Yamfika Hapaa Bungeni...Ni Kuhusu Rais Kutosafiri Nje ya Nchi . | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Tuesday, February 2, 2016

Sugu Yamfika Hapaa Bungeni...Ni Kuhusu Rais Kutosafiri Nje ya Nchi .

Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi amemshangaa mh Rais John Magufuli kwa kitendo chake cha kutokusafiri nje ya nchi, akichangia bungeni mbunge huyo alisema haiwezekani Rais abaki amejifungia Dar badala yake anapaswa kusafiri nje ya nchi ili kwenda kujifunza kwa marais wenzie. 
Maoni
Je, hii ni mwendelezo wa viongozi wa CHADEMA kubadili gia angani!?
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin