Uhai wa Twiga mweupe upo hatarini | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Wednesday, January 27, 2016

Uhai wa Twiga mweupe upo hatarini

Twiga mweupe aliyegunduliwa kwenye hifadhi ya taifa ya Tarangire aliyepewa jina la Omo, yupo kwenye hatari ya kuuawa kutokana na utofauti wake.
Twiga huyo ambaye aligunduliwa na mtafiti wa masuala ya viumbe Dk. Dereck Lee, alipokuwa akifanya utafiti wake kwenye mbuga hiyo, na kusema mazingira ya Omo ni rahisi kuonwa na maadui wakiwemo majangili na kumuua.
"Miaka ya mwanzo ni hatari sana kwa Twiga kwa sababu wanakuwa wadogo hivyo ni rahisi kwa wanyama kama simba, chui na fisi kumuua” alisema Dk. Lee.

Dk. Lee aliendelea kusema kuwa kutokana na mazingira hayo Omo amekuwa anaishi kwa wasi wasi ingawa anaonekana mwenye furaha, na watu wamependa ukweli kwamba Twiga huyo ni wa tofauti.
"Nafikiri watu wamependa ukweli kwamba Twiga mweupe Omo amekubalika kutokana na utofauti wake, kwa sababu inaongelea hata kwa binadamu kwa uvumilivu na kukubali wale ambao wanaonekana tofauti na sio sawa”, alisema Dk. Lee.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin