Suarez aliifungia Liverpool magoli 84 kati ya mechi 133 alizoichezea klabu hiyo.
Suarez ambaye aliichezea Liverpool kwa kipindi cha miaka 2 na nusu kabla ya kusajiliwa na Barcelona ya nchini Hispania ameiambia ESPN kuwa kila mchezaji ambaye alipata kuichezea Liverpool anajua umuhimu wa mashabiki wa Liverpool Anfield.
Akiwa
na klabu yake ya Barcelona, Suarez amefanikiwa kutengeneza partnership
hatari duniani maarufu kama ‘MSN’ katika eneo la mashambulizi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Ajax alijiunga Liverpool mwaka 2011 kwa ada ya uamisho wa pauni 22m na katika kipindi cha miaka 2 na nusu aliifungia Liverpool magoli 94 kabla ya kusajiliwa na Barcelona kwa dau kubwa la pauni 75m.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini