Diamond Platnumz ajenga msikiti wenye thamani zaidi ya Milioni 30 | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Wednesday, January 27, 2016

Diamond Platnumz ajenga msikiti wenye thamani zaidi ya Milioni 30

Staa wa mziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz akiwa anafanya vizuri barani Afrika katika kazi zake za mziki na maisha mazuri aliyo nayo kuanzia nyumbani kwake mpaka usafiri anaotembelea ila hujajua kwamba amekua akifanya ibada na kumshukuru Mwenyenzi Mungu.
diamond-afrima
Diamond Amesema, “Msikiti nimeujenga kule Mkuyuni Morogoro ni baada ya boss wangu Tale kuniambia kwamba kuna msikiti kule Mkuyuni na watu wanaswali kwa tabu sababu Msikiti ni wa udongo, watu wanapata tabu.”
Diamond akaongezea, “Tuliuvunja mpaka tukaanza mwanzo kuujenga, sasa hivi ulipofikia ni karibia kukamilika…. gharama yake mpaka kukamilika ni zaidi ya milioni 30.”
Akaendelea, “Mwaka 2015 nilijitahidi kufanya vitu vingi vya dizaini hii Mwenyenzi Mungu aone kabisa inawezekana kazi yangu ya muziki sio nzuri ila natumia kufanya mambo ya msingi.”
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin