Katika hatua ya
kujumuisha umoja wa kikristo,Papa Francis amewaomba radhi waamini wa
kiprotestanti kutokana na historia ya unyanyasaji walioupata kutoka
kanisa katoliki.
Hata hivyo Papa Francis amewataka waamini wa
kanisa katoliki pia kuwasamehe wale ambao waliwakosea ili wasiruhusu
makosa yaliyotendeka nyuma kuwa sumu ya mahusiano ya sasa.Kufuatia tamko hilo msemaji wa Vatcan ametangaza kuwa Papa Francis atazuru mji wa Lund uliopo Swedish eneo ambalo jumuiya ya kilutheli ilianzishwa na kuanzisha thehebu la kilutheri karne tano zilizopita.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini