
Ni kuendesha mijadala huru. Kama mwalimu, darasani mimi kazi yangu ni kama ya mkunga. Kazi ya kuzalisha maarifa mapya yatokanayo na fikra huru zinazokinzana zinapopambanishwa kwa hoja.
Pichani
nikiendesha mjadala na wanafunzi vijana kutoka vyuo mbalimbali vya
Marekani walio kwenye programu ya mafunzo Ruaha University. Kwa kidogo
ninachokijua anayetaka kunikaribisha chuoni kwao niweze ku-share uzoefu
wangu kwenye maeneo mbalimbali nitafurahi kupata mwaliko. Niko tayari
pia kujitolea tu. Isiwe ni vijana Wamarekani tu wanaokuja kuchota uzoefu
wetu unaowasaidia sana kwenye masomo yao.
Na mwandishi wetu.
Iringa.
Na mwandishi wetu.
Iringa.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini