Angelique Kerber akiwa amepozi na Kombe la Daphne Akhurst Memorial huku Serena Williams akimpigia makofi ya kumpongeza
Mjerumani huyo, 28, alikuwa akipambana katika Grand Slam yake ya kwanza katika tenisi mjini Melbourne.
Williams alikuwa akipambana ashinde taji la saba la Australia Open lakini kushindwa kwake kumempa ushindi Kerber.
Kerber aliliezea taji la Australian Open kama kuwa, “wiki mbili nzuri maishani mwangu” na “ndoto iliyokuwa kweli”.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini