Mkutano
wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) unatarajia kuanza mjini
Dodoma kesho tarehe 19 Aprili 2016. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya
kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali.
Wabunge wote wametakiwa kuwasili mjini Dodoma siku ya Jumapili tarehe 17 Aprili 2016