Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara
ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.
Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini
Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na
watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.
Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua
office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini