January 14 2016 naanza
kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 22
ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue
kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,
twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.