MBWANA SAMATA AIBUKA KIDEDEA BARANI AFRIKA. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Thursday, January 7, 2016

MBWANA SAMATA AIBUKA KIDEDEA BARANI AFRIKA.



Mmoja ya wachezaji wa kitanzania wenye mafanikio katika soka nje ya mipaka ya Tanzania, Mbwana Samatta leo usiku ameshinda tuzo ya mchezaji bora.  Mafanikio hayo yamepatikana baada ya kuifungia     mabao nane TP MAZEMBE na kuifanya kuchukua ubingwa .Avunja rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanz
Ads Separatora kushinda tuzo hiyo katika sherehe zilizofanyika ukumbi wa kimataifa JIJINI ABUJA NIGERIA.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin