Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa
wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara
yake ni kama haya:
kama ulevi n.k.
- Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
- kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
- Kusahausahau,
- Kupendelea story za mapenzi,
- Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
- Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
- Kuumwa na kichwa,
- Kukakamaa mgongo (wanaume),
- Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
- Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
- Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
- Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini