Madalali
 wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la  Tanzania Daima asubuhi hii 
na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa 
gazeti hilo, Freeman Mbowe.
Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida.
 Download Video and Put Comment
 Toa Maoni Hapa Chini





