TGNP yatoa tathmini yao juu ya Bajeti 2016/2017 | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Thursday, June 9, 2016

TGNP yatoa tathmini yao juu ya Bajeti 2016/2017


Katika Chapisho Hilo Lenye Kichwa Cha JE BAJETI HII NI YA VIWANDA AU WATU Asasi Hizo Zimehoji Masuala Kadhaa Ikiwemo vipaumbele vya bajeti hiyo pamoja na kuitaka Serikali Kuwajibika katika kusimamia kusanyaji wa mapato na kutafuta yyanzo mbadala yya mapato endelevu IlikKudhibiti kuendelea kukopa na kuongeza deni la taifa.
Chapisho hilo pia limepongeza hatua ya Serikali ya kuanzisha Mahakama Maalum ya Mafisadi ambayo huenda Ikawa chachu katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa humu nchini na uhujumu uchumi kunakofanywa na baadhi ya watumishi wa Umma.
Nao baadhi ya wadau na wananchi kutoka asasi Hizo wamekosoa bajetih hiyo katika Sekta ya Afya ambayo wamedai Kuwa Bajeti hiyo haijazingatiakKumwezesha Mama Mjamzito kupata huduma Bora za Afya.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin