Breaking News: Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima . | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Thursday, June 16, 2016

Breaking News: Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima .



Taarifa zilizotufikia muda huu zinasema Polisi 6 wakiwa ndani ya Landcruiser wamezingira nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima. 
Sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika, tutaendelea kuwajuza kadri tunavyoendelea kupata taarifa.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin