Msanii Ommy Dimpoz
Akizungumza
kwenye kipindi cha Planet bongo cha East Africa Radio, Ommy Dimpoz
alidai kuwa kufanya hivyo ni kupunguza kasi ya watoto wa kike ambao
wamekuwa wakimsumbua na kumtaka kimapenzi.
"Unajua saizi nimeamua kumuweka wazi mpenzi wangu ili wajue yupo na kupunguza usumbufu kwa watoto wa kike ambao wanadhani labda niko single, japo yupo mbali lakini kufanya hivyo inasaidia" alisema Ommy Dimpoz
Mbali na hilo Ommy Dimpoz alisema mpenzi wake huyo kwa sasa anasomea udaktari nchini uingereza na kudai ni mtu wa Afrika Mashariki.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini