Mkenya Auawa na Polisi Kwa Kipigo .....Walikuwa Katika Maandamano Kutaka Tume ya Uchaguzi Iundwe Upya . | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 17, 2016

Mkenya Auawa na Polisi Kwa Kipigo .....Walikuwa Katika Maandamano Kutaka Tume ya Uchaguzi Iundwe Upya .

Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya majeraha yaliyompata
 
Wafuasi wa CORD jana waliandamana kushinikiza kuundwa upya kwa Tume ya Uchaguzi (IEBC)
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin