Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego.
Hayo
yameelezwa na mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, wakati wa
uzinduzi wa ugawaji na uhamasishaji wa pembejeo za ruzuku za zao la
korosho msimu wa kilimo wa 2016/2017, uliofanyika wilayani Tandahimba,
na kusema kuwa mawakala hao wanakwepa kufanya kazi na serikali za
vijiji.
Aidha, amewataka wadau wa zao hilo kushirikiana na viongozi wa Bodi ya Korosho ya Korosho Tanzania (CBT), na viongozi wa serikali katika kuwapiga vita watu wachache wanaosambaza propaganda kuwaaminisha wakulima kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani haufai.
Naye, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Anna Abdallah, amesisitiza kwa wakulima kutekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, la kuvitaka vijiji kupanda miche 5,000 na kila kaya angalau walime heka moja ya korosho.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini