Pichani
ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu,
tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na
mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya
mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja
mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka
bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata.
(Picha Na Jumbe Ismailly)
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini