Zanzibar kurudia uchaguzi Machi. | nyula blog

Habari Kila Pande

Breaking News
Loading...

Friday, January 22, 2016

Zanzibar kurudia uchaguzi Machi.


Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salum Jecha
Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salum Jecha
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya kurudia Uchaguzi Mkuu kuwa itakuwa Machi 20 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jecha Salim Jecha alitangaza terehe hiyo kupitia Televisheni ya Zanzibar (TVZ) leo mchana kisiwani humo.
Jecha Salim Jecha alitangaza kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka uliopita.
znz1 znz2
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin