Mhe.Lukuvi amesema ameamua kuongoza zoezi hilo baada ya kubaini
kuwa ujenzi wake haukufuata taratibu na ameiagiza taasisi za kuzuia na
kupambana na rushwa-TAKUKURU kuendesha uchunguzi dhidi ya waliohusika na
ujenzi katika maeneo hayo ili waweze kuchukuliwa hatua stahili.
Waziri huyo wa ardhi, nyumba na makazi amesema serikali kamwe
haitishiwi na aliowaita wanatumia kiburi cha kuwa na fedha nyingi katika
kufanya ujenzi hata maeneo yasiyo stahili na atahakikisha
wanadhibitiwa.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini