Wayne Rooney alikuwa na furaha kama baba alipotuma picha nzuri Instagram ya mwanae mwingine, Kit, akiwa na umri wa dakika kadhaa
Siku ya Jumatatu, Wayne Rooney alikuwa na furaha kama baba alipotuma picha nzuri Instagram ya mwanae mwingine, Kit, akiwa na umri wa dakika kadhaa.
“Nakutana na Kit kwa mara ya kwanza. Muda wa kwenda nyumbani sasa,” mchezaji huyo aliandika katika picha hiyo.
Rooney, 30, na mkewe Coleen walitangaza kuzaliwa kwa mtoto wao wa kiume – waliompa jina la Kit Joseph Roone – siku ya Jumapili.
Awali Coleen, 29, aliwahi kuzungumza kuwa anatamani kupata mtoto wa kike.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini