Kamanda
wa Polisi wa mkoa wa Iringa Peter Kakamba amesema kuwa tayari ametuma
usafiri kwenda kuwabeba Raia hao ambao wanadai walishushwa katika gari
hilo aina ya Hiace ili kuvuka eneo la ukaguzi wa Magari ( check pointi)
kijiji cha Igumbilo nje kidogo ya mji wa Iringa.
Wakati huo huo Kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na kuhusishwa na kadhia hiyo. Soma zaidi:
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini