...
Wednesday, March 6, 2019
Friday, November 4, 2016
Angalia thamani yako, yanini kumng’ang’ania asiyekupenda?
Published Under
MAPENZI


Ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano, huwa ni
vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake. Ukipenda kujiangalia
mwenyewe si ajabu mwenzako kupata hisia za kuwa humthamini wala
humjali.
Muunganiko wenu katika mapenzi maana yake tayari mmekuwa kitu kimoja. Katika mimi unaweka sisi.
Ila pia ni vyema ikakumbukwa ladha na maana halisi ya mapenzi ipo kwa
anayekupenda...
Thursday, November 3, 2016
Wednesday, November 2, 2016
Saturday, October 29, 2016
Mambo 10 Ambayo ni Sumu Katika Mapenzi,
Published Under
MAPENZI


KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke
ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri,
kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe
amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha
ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii
huzungumzia suala la “kudata”...
Monday, October 24, 2016
Magazeti ya Tanzania October 25, 2016.
Published Under
BIASHARA
ELIMU
KITAIFA
Newspapjavascript:;er
SIASA

October 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram...
Subscribe to:
Posts (Atom)