Waziri wa TAMISEMI, Mhe. George Simbachawene.
Akiongea
Bungeni leo Mjini Dodoma Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Mhe. George Simbachawene, amesema kuna malalamiko mengi yanatokea
katika Halmashauri juu ya uendeshaji wa kutokana na kuona kuna
muingiliano wa kiutendaji na viongozi wa serikali wakiwemo wa wakuu wa
mikoa na Wilaya.
Mhe. Simbachawene amesema kutokana na jambo hilo la ugatuaji madaraka kukaa kwa mujibu wa Katiba viongozi wengi wanaamini kuwa kuna muingiliano mkubwa katika utoaji maamuzi hali inayopelekea halmashauri nyingine kuwa na sintofahamu juu ya viongozi wakuu wa serikali.
Akitolea ufafanunuzi juu ya suala la kufutwa kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na jambo hilo lifanywe na wakuu wa wilaya na mikoa amesema watedaji hao wakuu wa serikali hawana haki ya kuingilia masuala ya utendaji katika mitaa zaidi ya kusimamia shughuli za kiutendaji kama zinakwenda vizuri na zinafuata sheria na taratibu za nchi na maagizo mbalimbali ya serikali kuu.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini